Mwalu: Vijana msibweteke kusubiri ajira za serikali.

February  10 2021 Habari picha: Vijana msibweteke kusubiri ajira za serikali pindi mnapo maliza masomo kuna ujuzi wa fani mbalimbali jitokezeni kujifunza fani mbalimbali ili uweze kujiajiri na kuwaajiri wengine ili kuweza kupata kipato na kujikwimu kimaisha na kuacha kuwa tegemezi kwa familia na serikali katika kuelekea Tanzania ya viwanda ni kauli ya fundi ujenzi